Skai Milele

KingsMainaMSsteve

Miaka yangu haitakuwa hivi milele bado inasoga
Sitakuwa na sura mzuri milele
Siku moja itazeeka

Miguu yangu haitakuwa na nguvu ya kutembea milele
Siku moja nitashindwa kutembea
Macho yangu haitaona hivi milele
Siku moja nitashindwa kuona

Wacha nifanye kila kitu sai nitembee
Sai niogee na watu
Sai nifurahie
Sai sitaishi milele

Siku moja nitazeeka alafu nikufe skai
Milele mimi ni mpita njia tu dio
Maana najipeda sana leo kuliko kesho

Sitakuwa na, sitakuwa kijana milele
Haitakuwa kadem milele
Haitakuwa mama milele
Haitakuwa baba milele

Unazeeka
Kupumua vizuri ni huruma ya Mungu
Wangapi wanapewa pumzi hospitalini wengi sana

Kukula ni furaha na furaha ni baraka
Mawe, mchanga dio inaishi milele
Sisi wengine wote watu, mimea, wanyama
Tulitoka kwa mchanga
Tutarudi huko kwa mchanga

Miaka yangu haitakuwa hivi milele bado inasoga
Sitakuwa na sura mzuri milele
Siku moja itazeeka

Miguu yangu haitakuwa na nguvu ya kutembea hivi milele
Siku moja nitashindwa kutembea
Macho yangu haitaona hivi milele
Siku moja nitashindwa kuona

Wacha nifanye kila kitu sai nitembee
Sai niogee na watu
Sai nifurahie
Sai sitaishi milele

Siku moja nitazeeka alafu nikufe skai
Milele mimi ni mpita njia tu dio
Maana najipeda sana leo kuliko kesho


All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.